Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Jitangaze, Uza bidhaa zako sasa kupitia website/ Tovuti yako mwenyewe.

Wasiliana nasi kwa namba 0711414246 au 0621454246 kwa mahitaji ya website bora na ya kisasa.
 
Tunaendeleza kutoa huduma, Tupigie Sasa kwa huduma zetu.
 
Tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.

CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: +255.621454246
 
Tunaendeleza kutoa huduma, Tupigie Sasa kwa huduma zetu.
 
Hawa jamaa wa jibebe inc na Bluehost Tanzania agent ni matapeli wakubwa. Niliwakuta humu Jf nikakubaliwnw nao Wakanitengenezea app ya kusomea vitabu. App ilikuwa vizuri. Na nilihost na kununua domain kwao.

Ilipofika wakati wa kurenew hosting nikawatumia pesa lakini app yangu hawakuerenew hosting. Mwisho ikawa haipatikani hewani. Toka kama mwezi wa nane hivi. Simu hapokei na msg hajibu. Wamenitapeli laki na ishirini yangu hawa.
 
Back
Top Bottom