glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,026
- 1,401
Nimesubscribe for near future use
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu, Karibu kwa huduma na maelezo zaidi pia unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kwa namba 0711414246 / 0621454246Nimesubscribe for near future use
Apps Gani ambazo mumetengeneza nyie ambazo zipo play store ,apps za entertimient
Tofauti ya website na application ni ipi?NOTE: Gharama zinajumuisha
*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.
CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: +255.734198431 Au +255.711414246
Habari mkuu. Ukingia Playstore unaweza kusearch Application inayoitwa SmartDuka Pro. Pia unaweza kuclick Publisher name hapo utaweza kuona Application zetu.Apps Gani ambazo mumetengeneza nyie ambazo zipo play store ,apps za entertimient
Gharama ya e commerce website ni kiasi ganiPia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
App 300,000???🤣🤣🤣🤣Gharama za App inategemea na aina na mahitaji ya App, bei yake inaanzia TZS 300,000/=
Habari mkuu, Gharama inaanzia 300,000/= Mkuu inategemea na mahitaji ya App na Aina ya App ndungu inaweza kufika mpaka Million 5 nakuendelea.App 300,000???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
E Commerce inategemea pia na Aina ya E Commerce. ni Single E Commerce Website au Multi Vendor E Commerce.Gharama ya e commerce website ni kiasi gani
Ndio mkuu.. Inawezekana unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0711414246/ 0621454246Unaweza ukawa na email ya biashara bila kuwa na website.