Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 905
- 166
- Thread starter
-
- #461
Domain ya .com kwa new client ni Tsh 15,000/= kwa mwaka, kurenew ni Tsh 30,000/= kila mwaka.Domain ya COM kwa mwaka ni shiling ngapi kupitia nyinyi?
Maana nasikia Godaddy na wengine wanamchezo mchafu wa kuuza domain km haujalipia.
Logo tunadesign kuanzia Tsh 45,000/=Kutengeneza Logo ya biashara bei gani?
Domain ya .com kwa new client ni Tsh 15,000/= kwa mwaka, kurenew ni Tsh 30,000/= kila mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama domain yako imeexpire na kwa sasa ipo huru. Unaweza kuisajili kwa Gharama ya Tsh 15,000/= kwa mwaka kwa .com kurenew gharama ni Tsh 30,000/=. Kwa msaada zaidi CALL/ SMS/ WhatsApp : 0621454246 au 0711414246Kama usipo renew domain inauzwa?
Je, ikipita km miezi 3 hivi halafu uka renew bei inakuwaje?
Maana naona watu walionunua domain Godaddy wanalia baada ya kuona domain zao zinauzwa.
Nikiwa na hosting account yangu mwenyewe, gharama za kutengeneza hiyo website zitakuaje?Kama domain yako imeexpire na kwa sasa ipo huru. Unaweza kuisajili kwa Gharama ya Tsh 15,000/= kwa mwaka kwa .com kurenew gharama ni Tsh 30,000/=. Kwa msaada zaidi CALL/ SMS/ WhatsApp : 0621454246 au 0711414246
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama inaanzia 200,000/= inategemea pia na aina na mahitaji ya website yako.Nikiwa na hosting account yangu mwenyewe, gharama za kutengeneza hiyo website zitakuaje?
Kumbe haina tofauti na mtu asiye na hosting account yake mwenyewe? DohGharama inaanzia 200,000/= inategemea pia na aina na mahitaji ya website yako.
Ndio mkuu, Gharama hiyo kwa upande wetu imekua hivyo hivyo sababu hosting tunahost wenyewe kwa gharama hiyo tunatoa free hosting miez 6, na free .com domain mwaka mzima.Kumbe haina tofauti na mtu asiye na hosting account yake mwenyewe? Doh
Vipi kwa mteja mwenye "Hosting Account" yake mwenyewe na "domain names" zake kadhaa, ambaye shida yake yeye ni kutengenezewa websites tu? Hamkufikiria hilo kwenye "packages" zenu?Ndio mkuu, Gharama hiyo kwa upande wetu imekua hivyo hivyo sababu hosting tunahost wenyewe kwa gharama hiyo tunatoa free hosting miez 6, na free .com domain mwaka mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na shaka CALL/ SMS/ WhatsApp: 0621454246/ 0711414246. Tuweze kufahamu aina ya website na mahitaji yake tunaweza kufanya kazi.Vipi kwa mteja mwenye "Hosting Account" yake mwenyewe na "domain names" zake kadhaa, ambaye shida yake yeye ni kutengenezewa websites tu? Hamkufikiria hilo kwenye "packages" zenu?
SalamaOffa maalumu ya mwezi huu. Je unamiliki biashara ya aina yeyote na ulikua unahitaji kufikia wateja wengi, kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Tumetoa punguzo kwa kukutengenezea website. Jitangaze, Uza bidhaa zako sasa kupitia website/ Tovuti yako mwenyewe.
Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Ili kila mfanyabiashara aweze kuafford na kumiliki biashara yake kisasa zaidi.
NOTE: Gharama zinajumuisha
*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: +255.621454246
View attachment 1518198
View attachment 1518199
View attachment 1518200
View attachment 1518201
View attachment 1519655
Salama mkuu, KaribuSalama