Tunatengeneza na kuuza furnitures za majumbani na ofisini

1. Ndio mimi ni fundi kwa kushirikiana na wenzangu
2.Ukifika keko magulumbasi ulizia Jack, Emma, Said au Hamadi
3. Kuhusu material ya vitanda na makabati ni pendekezo la mteja kutokana na mfuko wako utasema unataka material gani
Asante. Hayo ni majina. Ninaomba jina la kiwanda au show room yako pale Keko. Ili nifike kwa Jina la ofisi au show room. Asante
 
Hua nachefukwa na moyo ninapoona mtu anabandiika mijipicha ya kwenye internet.

Nakiri kua sio picha zote za internet ulizoweka. Musiwe wajanja wajanja weka kazi yako tu. Mambo za internet subiri mteja aje akuletee umtengenezee.
 
Mleta uzi akiwa fundi na yeye nahama nchi
 
Kila furniture inabei yake kwahiyo ukihitaji unapoint unayoitaka nakutajia bei kwamaelewano zaidi usisite kuwasiliana nami 0652898378
Kila kitu kuwa na bei yake ni kawaida taja hiyo bei, hiyohiyo uliyotuonesha ndiyo utaje bei yake
 
Hua nachefukwa na moyo ninapoona mtu anabandiika mijipicha ya kwenye internet.

Nakiri kua sio picha zote za internet ulizoweka. Musiwe wajanja wajanja weka kazi yako tu. Mambo za internet subiri mteja aje akuletee umtengenezee.
Asante kwa ushauri wako mkuu nitafanyia kazi
 
Dining table yenye viti 6
Mnauzaje
Mbao iwe mkongo au mninga

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…