Tunatengeneza tv showcase (tv unit's) za kuhamishika na za kujengea

Tunatengeneza tv showcase (tv unit's) za kuhamishika na za kujengea

Cantona fundi mkuu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2023
Posts
295
Reaction score
313
Mko poa maboss zangu..

Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa.
Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani.

Bei hutokana na ukubwa uutakao boss..
Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4.. had lak 5 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase..

Pia za kujengea kwa kutumia PVC panel na marble sheats na melamine board.. nazo hutokana na ukubwa wa ukuta wako boss ila Bei huanzia laki 6 na nusu Hadi Milioni 1 na laki 8..


Nmepost sample za showcase za kuhamishika na za kujengea.. chagua uitakayo boss tukutengenezee bei zetu ni cheap sanaaaaaaa..


Tupo dar mbagala 0692477610..
Ila Hadi mikoani tunafika na tunakufanyia kaz yako.
1750686847103 (1).jpg
1750686834004 (2).jpg
1749646820049 (1).jpg
 

Attachments

  • 1751820066565 (1).jpg
    1751820066565 (1).jpg
    57.2 KB · Views: 29
  • 1750686834004 (1).jpg
    1750686834004 (1).jpg
    60.2 KB · Views: 34
  • 1749646812645 (1).jpg
    1749646812645 (1).jpg
    52.7 KB · Views: 32
  • 1749940230052 (1).jpg
    1749940230052 (1).jpg
    95 KB · Views: 34
  • 1750065048254.jpg
    1750065048254.jpg
    161.4 KB · Views: 35
  • 1750065045024.jpg
    1750065045024.jpg
    167.8 KB · Views: 32
  • 1749485567858 (1).jpg
    1749485567858 (1).jpg
    79.4 KB · Views: 35
  • 1749485556682 (1).jpg
    1749485556682 (1).jpg
    79.7 KB · Views: 31
Back
Top Bottom