Tunatibu maradhi mbalimbali

Tunatibu maradhi mbalimbali

Abdul mdachi

Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Tunatibu kisukari, pressure, upungufu wa cd4, upungufu wa nguvu za kiume, matatizo ya moyo, miguu kuvimba na kupasua, chango, uchovu wa mara kwa mara, na maradhi mengne.

Dawa ni fresh na zimethbitishwa na mkemia mkuu ( TFDA n ZFDA). Tunapatikana Morogoro na dawa zitakufikia popote Tanzania kwa njia ya basi.

Tuwasiliane kwa namba 0712389866
 
sio wote wezi ndugu

We mwizi na tapeli tu! Ungekuwa na uwezo huo hospitali zingefungwa au wewe ungeajiriwa hospitalini. We ni mungu mpaka uwe na uwezo wa kutibu magonjwa yote hayo!? Mbona serkali haikuletei wagonjwa badala yake inaingia gharama kubwa sana kuwapeleka nje ya nchi? Wewe mwenyewe na familia yako mnatibiwa kwenye hospitali rasmi, tena zile binafsi kwa vile mna pesa ulizowaibia maskini!

MWIZI NA TAPELI MKUBWA! KUWA NA AIBU
 
Hizi dawa za kuongeza nguvu za kiume hazisababishi wanaume wapate priapism?
 
Tunatibu kisukari, pressure, upungufu wa cd4, upungufu wa nguvu za kiume, matatizo ya moyo, miguu kuvimba na kupasua, chango, uchovu wa mara kwa mara, na maradhi mengne.

Dawa ni fresh na zimethbitishwa na mkemia mkuu ( TFDA n ZFDA). Tunapatikana Morogoro na dawa zitakufikia popote Tanzania kwa njia ya basi.

Tuwasiliane kwa namba 0712389866

Hebu tupe cv yako. Pia toa hadharani uthibitisho toka tfda na zfda, kama kweli ww siyo tapeli na mwizi
 
Back
Top Bottom