Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Haki yaMungu hii ni mambo gani
kapotea sa100Angalau tusherekee kama taifa kutimiza mwezi mmoja bila kuskia taarifa za kutekwa kwa raia wa kitanzania.....
Hongereni sana vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha ulinzi...
Rhabhekhaa.