Tunatoa huduma mbalimbali za printing kwa mahitaji tofauti tofauti

Tunatoa huduma mbalimbali za printing kwa mahitaji tofauti tofauti

Opulent

Member
Joined
Sep 6, 2024
Posts
33
Reaction score
40
Toka kwenye wazo mpaka utimilifu wa wazo kua bidhaa. Tunatoa huduma mbali mbali za uchapishaji zenye kukidhi mahitaji yako binafsi, biashara, taasisi za kidini n.k

Kama kituo kinachojihusisha na huduma za uchapishaji, tunatoa huduma ya uchapaji kwa bidhaa mbalimbali. Iwe unahitaji kuchapa T-shirts, mabango, business card,packages au picha za kutundika ukutani, tuna vifaa na ujuzi wa kusaidia kutimiza mahitaji yako.

Tafadhali angalia bidhaa zetu mbalimbali na uone jinsi tunavyoweza kua washirika wako katika uchapishaji. Tunalenga kutoa huduma bora, bunifu, na kukamilisha kazi kwa wakati.

Corporate/Business related merchandise .
Mabango

1.Mabango ya nje(Exterior signage)
Mabango ya nje huvuta wateja wapya kwa kuwajuza wateja juu ya huduma au bidhaa iuzayo biashara
yako.

i).Mabango ya acrylic 3D yawakayo
Ni mabango yenye herufi zilizoumuka zenye kuonekana pande 3(3D) na yenye mfumo wa umeme,
yaundwayo toka kwenye material ya akriliki ambapo ni aina ya plastic inayoonekana kama kioo lakini
nyepesi na laini ambapo hutumika kama mbadala salama wa kioo. Kulingana nakua na herufi zenye
mfumo wa umeme hivyo tunakuunganishia kwenye mfumo wako wa taa ili pindi uwashapo taa na bango
nalo linawaka.
0003 - Copy.jpg

00013.jpg

Bei hua kwa mita moja, Mita moja(100cm) ya bango la 3D Tsh 450,000

N:B kadri meter zinavyoongezeka ndivyo na herufi zinakua kubwa hata kuweza kuziona kwa mbali.

ii).Mabango ya 2D yawakayo
Bango la 2D lenyewe linakua na herufi nyembamba ambazo hazijaumuka kutoka nje ya bodi
ziliposhikizwa.
0009.jpg

2D bango, Bei kwa mita moja(100cm) Tsh 250,000

Mabango ya ndani (Interior Signage)
Nje nakua pambo lipendezeshalo ndani ya ofisi, bango la ndani husaidia kutengeneza kumbu kumbu
yakudumu kwa mteja, Mteja awapo ndani haandamwi na kelele za mabango mengi kama yaliyo nje hivyo
akili inakua imetulia ambapo ni nafasi nzuri na adhimu yakuengeneza kumbu kumbu ya jina la ofisi(Brand
enforcement)

i).Mabango ya 2D ya ndani
Bango la ndani linaweza kua lenye kuwaka katika herufi zake au lisilowaka pia umbo lake laweza kua la
duara au pembe nne.
Lenye kuwaka Tsh 250,000
0007.jpg


Lisilowaka Tsh 200,000
0004.jpg


Ii).Roll up banner
Ni bango la ndani lenye mfumo wa kukunjika na kukunjuliwa kama mwamvuli, hivyo linakua rahisi
kulibeba nakulihamisha mahali popote unapopahitaji. Linaweza kuwekwa katika maonyesho, mikutano
au ofisini.

00016.jpg

Wide base Roll Up banner, Bei Tsh 230,000

0008.jpg

Narrow base Roll up banner, Tshs 180,000

2.Tshirt printing
Kuchapa Tshirt kwa taarifa tambulishi juu ya taasisi yako ni njia bora yakuwasiliana na umma na kujenga
ufahamu wa brand/chapa yako.

Aina za uchapaji T-shirt
i)Embroidery(Kudarizi)
Ni moja ya njia bora katika uchapaji wa nembo/chapa, Hudumu na nguo mpaka pale nguo itapoisha.
00010.jpg

00015.jpg

▪️Kianzio cha idadi tuanziacho kuprint ni T-shirt 10.
▪️ Tsh 16,000 per T-shirt ( Bei ni jumuishi Pamoja na T-shirt bora za collar/polo T-shirt)
▪️ Bei hupungua kwa kadri ya wingi wa T-shirts

ii)DTF Printing(Direct to film)
Ni aina ya uchapaji ambapo artwork kama logo, maandishi au Picha hurutubishwa kwenye filamu
maalumu kisha kuhamishwa kwenye nguo kupitia joto kali na shinikizo.
▪️Ni njia bora na yenye uharaka kwa matukio yakidharula kama misiba n.k
▪️Ni njia bora kwa artwork yenye mchanganyiko wa rangi nyingi ambapo katika mifumo mingine ya
printing hushindikana
▪️ Kuanzia T-shirt 10 Tsh 15,000 (Bei ni jumuishi na T-shirt za cotton za collar/polo T-shirt)
▪️Bei hupungua kwa kadri ya wingi
▪️ Pia bei ni pungufu zaidi kwa promotion materials, mfano kwa mahitaji ya T-shirt za kampeni, au
zakugawa kama zawadi kwa wateja wako zenye logo yako.
Screenshot_20240928-141129 (1).png


Iii)Screen Printing
Ni moja ya njia kongwe ya uchapishaji ambapo wino husukumwa kupitia stencil ya wavu ijulikanyo kama
skrini ili kuchapa artwork ilokusudiwa. Ni njia bora na imara.
▪️Kuanzia T-shirt 10 Tsh 15,000
▪️Bei hupungua kwa kadri ya wingi wa Tshirts
▪️Na pia bei hueza kuongezeka kutegemeana na idadi ya sehemu utakazo kuchapa.
0001 - Copy.jpg


3.Business Card
Ni kadi ndogo inayobeba taarifa kuhusu biashara au mtu binafsi, hutumika kama njia ya haraka na dhahiri
yakubadilishana mawasiliano, yaweza kwenye mikutano yakibiashara n.k
0005.jpg

Bei huwa kwa idadi ya pieces 100
▪️Printed one side Tsh 15,000 per 100 pieces
▪️Printed two sides 25,000 per 100 pieces
▪️Printed and laminated both sides Tsh 35,000 per 100 pieces

4.Package Printing
Kuchapisha vifungashio na nembo yako, Mawasiliano, jina & anwani ya biashara ni njia ya kuvibinafsisha
vifungashio na kuvitumia kama chombo cha matangazo kwa kuimarisha utambuzi wa chapa/brand yako
nakujitofautisha na washindani wako.
Bei ni kwa idadi ya pieces 100 pia kutegemeana na ukubwa wa kifungashio
0002.jpg

A4 Size Tsh 45,000 for 100 pieces
A3 size Tsh 70,000 for 100 pieces

Personal Gift Items
1.Picha-mbao
Ni Picha kwenye fremu ya mbao, picha inakua imefunikwa/kulaminatiwa na mteriala angavu yenye
kung’aa kama kioo ambayo huzuia maji na michubuko dhidi ya picha. Zaidi ya yote ni haivunjiki wala
hailoani na ni ya kisasa zaidi.
00013 (2).jpg

A4 size Tsh 15,000
A3 size Tsh 25,000
A2 size Tsh 60,000
A1 size Tsh 120,000

2.Custom made watch/Picha-saa
Ni picha saa isomayo majira enye picha yako/ya mpendwa wako. Ni kama uliweka oda kiwandani ikaja
special kwa ajili yako.
00012.jpg

A4 size Tsh 35,000 mfano wa A4 size ni hiyo juu.
A3 size Tsh 55,000
A2 size Tsh 120,000

3.Printed Mug
Magic cup
Hua kinaonesha picha ukiweka maji ya moto au chai.
Kinakua printed mbili upande mmoja picha na upande mwingine ujumbe ambatanishi
00011.jpg

Magic cup Tsh 20,000

Plain cup
Hiki huonesha picha muda wote
Tshs 12,000

Contacts: WhatsApp: 0743717072
Location: Dar, Ubungo-Mawasiliano opposite Mawasiliano bus stand.
**********
 

Attachments

  • 0003 - Copy.jpg
    0003 - Copy.jpg
    797.6 KB · Views: 9
  • 00013 (2).jpg
    00013 (2).jpg
    369.3 KB · Views: 8
  • 00013 (2).jpg
    00013 (2).jpg
    369.3 KB · Views: 8
Safi sana, Umeiweka poa sana with well descriptions with transparency in pricing. Imekaa kama website of a full printing house.

Nimechukua namba kesho nitawatembelea Kwa ajili ya mabango ya 3D
 
Safi sana, Umeiweka poa sana with well descriptions with transparency in pricing. Imekaa kama website of a full printing house.

Nimechukua namba kesho nitawatembelea Kwa ajili ya mabango ya 3D
Karibu sana
 
Back
Top Bottom