INAUZWA Tunatoa huduma ya Drone Camera na CCTV Camera, Laptop na vifaa mbalimbali vya umeme

INAUZWA Tunatoa huduma ya Drone Camera na CCTV Camera, Laptop na vifaa mbalimbali vya umeme

Fundi Umemetz

Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
35
Reaction score
41
Drone camera ..
720P, 1080P,4k video
Recording , taking photo.
1km range
Brand new ,
Dar unalipa ukipata mzigo ..
Mikoani unatumiwa ..
Tupo makumbusho
0686 314 748
FB_IMG_1646108945477.jpg
FB_IMG_1646108950572.jpg
 
Hivi ukishanunua drone camera, kuna pesa pia utapaswa kuilipa serikalini kama kibali au kodi kila mwaka?
Kama ni hivyo huwa ni kiasi gani?
 
Hivi ukishanunua drone camera, kuna pesa pia utapaswa kuilipa serikalini kama kibali au kodi kila mwaka?
Kama ni hivyo huwa ni kiasi gani?
Hii inategemea na matumizi nafikiri . Ila ili kutumia lazima uwe na kibali .. pia kinakuwa kwa mkoa husika tu ..
 
We automate your gate to open with remote!
Automation system and full installation package at
1,400,000/= Contact us today for stress free entry and exit life!
0686 316 748
Mbezi beach makonde .
images%20(70).jpg
 
ELECTRIC FENCE

Hii ni fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya kampound kupitia either juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence, pia king'ora kitalia na taa ya strobe kutoa taarifa kuwa kuna jambo la hatari lina endelea.

TOP WALL ELECTRIC FENCE hizi zinafungwa majumbani juu ya ukuta wa fensi. (Top wall) inakuwa na line 8 minimum otherwise kuna sababu zingine.

Material kama (nguzo) Aluminium poles hutumika kwasababu hazishikikutu, na pia zinamuonekano mzuri, pia kuna aina nyingi za wire kama (Galvanized wire, Aluminium wire na Stanley steel wire)Fundi mzuri lazima afunge Earth rod zaidi yamoja, kuipa nguvu fence ya kupiga short nakulinda mashine.

[emoji419]Kwa wateja wangu wa Dar huwa tunawashauri kufunga Aluminium poles, (nguzo), Aluminium wire au Stannely steel wire kutokana na mazingira ya chunvi, faida zake ni kwamba.

[emoji117]Hazishiki kutu
[emoji117]Hazipati layer ya chunvi inayopunguza uwezo wa kupiga shoti
[emoji117]Zinakaa muda mrefu sana
[emoji117]Zina muonekano mzuri.

Gharama kufunga fence zinategemea mambo yafuatayo Ukubwa wa ukuta (material yatatumika mengi au machache kulingana na ukubwa wa ukuta)\

[emoji832]Shape ya fence je? Ukuta wako umenyooka au upo straight, au unakonakona au ngazi ngazi, ukuta ulionyooka materials yatatumika machache hivyo bei itakuwa chini ukilinganisha na ukuta wenye kona kona au ngazi.

Watu wengi wamekuwa wakitapeliwa na mafundi wasio na utaalamu kwa kufungiwa fence zisizo na ubora kwa vifaa visivyoendana na mazingira.

Au ufungiwa vifaa used na kuaminishwa ni vipya kwasababu mteja hana utaalamu juu ya vifaa au tamaa za mafundi.

Madhara yake yapo hivi, unaweza amini kuwa fence inafanya kazi kumbe ilishakufa siku nyingi, , mwizi anauwezo wa kupita kwenye hiyo fence bila kupigwa shoti.

Karibu ROYAL SECURITY SOLUTIONS

Tukufanyie kazi nzuri bora na ya uhakika kwa usalama wako na mali zako

0686316748

TUPO DAR ES SALAAM- Mbezi Beach NA ARUSHA- SAKINA
 
Hazina maana siku hizi kuweni wabunifu...

Jirani yangu juzi kaibiwa na ana camera system pamoja na fenc ya umeme.. wamekuja wamevaa gunia, wanatembea na tester wamepima wakakuta umeme wakakata tu.....

Mavi matupu.
 
Kwa fensi hii masai ashakosa kazi ya ulinzi.[emoji6] pia hata yule mbwa mkali hana kazi. Au nasema uongo mtumishi?
Kuna nyumba moja JAmaa walitumia Wire ambao umechunwa wote wakawa wameufunga jiwe hivyo walivyorusha ile ikagusanisha Waya 8 hivyo ikapiga shoti baada ya wiki wakarudia tena hivyo hivyo mpk ikawa kero kwa mwenye nyumba
 
Back
Top Bottom