PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Subaru ni gari pendwa sikuhizi Hili gari ni mmbadala wa harrier.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe shida haikuwa ni gari ya gharama 8la shida ni uoga wa kuimiliki kutokana na maneno ya fundi shabani chini ya muembe. Utasikia ohooo hiyo gari usinunue.Subaru ni gari pendwa sikuhizi Hili gari ni mmbadala wa harrier.
Uoga wetu Tu wabongo ndo maana tuliogopa magari tofauti na Toyota Ila sikuhizi mambo ni poa maana Subaru forester ndiyo gari pendwa alafu CC zake ni ndogo ukilinganisha na harrier, vanguard na klugerKumbe shida haikuwa ni gari ya gharama 8la shida ni uoga wa kuimiliki kutokana na maneno ya fundi shabani chini ya muembe. Utasikia ohooo hiyo gari usinunue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya 2007? Kawauzie mbwa hukoSalam wana JF!
Pichani ni BMW 3 SERIES ya 2007, Cc 2000 (Km 16/L), 2WD.
Gharama zote 16,300,000. Malipo ya awali 9,000,000
Tunapatikana
Dar- Golden Jubilee Tower
Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya
Piga; 0719 989 222
View attachment 2407410
Acha kuharibu biashara ya watuYa 2007? Kawauzie mbwa huko
Vijana wana shida sanaAcha kuharibu biashara ya watu
Tatizo la vijana wetu hapa jf ni ushamba na limbukeni, sasa fafanua gari ya 2007 ina tatizo gani?Ya 2007? Kawauzie mbwa huko
Tatizo nini boss? Gari zipo za miaka mingi, tueleze ya mwaka unaohitaji tukupatie makadirio ya gharama...hilo toleo la kuanzia 2004-2010 zinagharim kati ya 15m- 18 kutegemea na mwaka, hali ya gari na bei ya muuzaji kule nje. Karibu tukuhudumieYa 2007? Kawauzie mbwa huko
Mkuu achana nae,focus kwenye biashara. Ukute hana hata pikipiki.Tatizo nini boss? Gari zipo za miaka mingi, tueleze ya mwaka unaohitaji tukupatie makadirio ya gharama...hilo toleo la kuanzia 2004-2010 zinagharim kati ya 15m- 18 kutegemea na mwaka, hali ya gari na bei ya muuzaji kule nje. Karibu tukuhudumie
Uzi bila picha ni utumbo Mtupu.Salama ndugu wana JF?
Tuanze kwa kutoa pole kwa familia zilizopoteza wapenda wao na majeruhi wa ajali ya shirika la Precision Air iliyotokea jana tarehe 6 Novemba huko Bukoba.
Pichani hapo chini ni PDF inayoelezea kwa ufupi kuhusu gari penda aina ya BMW 3 Series ili iweze kukuongoza katika kufanya uchaguzi sawa na mahitaji yakoView attachment 2409196
Salama ndugu wana JF?
Tuanze kwa kutoa pole kwa familia zilizopoteza wapenda wao na majeruhi wa ajali ya shirika la Precision Air iliyotokea jana tarehe 6 Novemba huko Bukoba.
Pichani hapo chini ni PDF inayoelezea kwa ufupi kuhusu gari penda aina ya BMW 3 Series ili iweze kukuongoza katika kufanya uchaguzi sawa na mahitaji yako.
View attachment 2409196