Tunatoa huduma ya kuchimba visima

Tunatoa huduma ya kuchimba visima

Ulienda shule kusoma? Au umependa kuniletea ujinga wa vijiweni.
Nilichoandika siyo kushangaa au kuuliza, nimeandika watu wajue urefu wa kina kwani si kila mtu anajua.
Unafafanua kitu gani ambacho mleta maada ameshaandika vizuri tu na kinaelewaleka? Au wewe ndio mleta mada hapa?
 
wachimbaji visima mikoa yote Tanzani, bei zetu kama ifuatavyo kwa baadhi ya mikoa, na mikoa mingine tutapeana gharama tutakapowasiliana kupitia namba zetu,

(1) Dar mita moja tunachaji 65,000 na upimaji wa maji ( survey) ni laki 200,000

(2) Morogoro,Tanga,Dodoma mita moja tunachaji 80,000 na kupima (survey) laki 400,000

(3)Mbeya,Njombe,Iringa,Songea mita moja tunachaji 120,000 mpaka 130,000 inategema na formation ya miamba na survey tunafanya kwa laki (600,000)

(4) Moshi, Arusha mita moja tunachaji kuanzia (140,000) mpaka (170,000 ) pia inategemea na formation ya miamba na (survey ) tunafanya kwa laki (600,000)

(5) Mwanza,mara ,Tarime,Singida,Tabora mita moja tunachaji (120,000-140,000) na (survey) tunafanya kwa laki (600,000 -900,000)

mikoa mingine bei maelewano maana hatuwezi weka makadirio sahihi kwani inategemea na umbali pia na formation (aina ya miamba kwa taarifa sahihi tupigie simu namba zetu ni 0686733292/0714453589/0766438286

whasap us on - 0686733292/0714453589

email us on wachimbaji visima@gmail.com
View attachment 2211306
View attachment 2211307
View attachment 2211308
View attachment 2211309
View attachment 2211310
View attachment 2211311
View attachment 2211312
View attachment 2211313
View attachment 2211314
Ila mkuu editing kidogo hakuna mkoa wa Moshi bali ni Kilimanjaro
 
Tunachimba visima majumbani na mashambani kwa maelezo zaidi tupigie 0762484200/0627431955
IMG_2708.jpg

IMG_2709.jpg

IMG_1973.jpg

IMG_1978.jpg
 
Wachimbaji visima virefu vya maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani au shambani pia tunafanya surveying (tafiti kubaini uwepo wa maji).

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba zetu ni 0762484200/0627431955.

IMG_8530.jpg


IMG_8545.jpg


IMG_8536.jpg

IMG_8546.jpg


IMG_8548.jpg
 
Wachimbaji visima virefu vya maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani au shambani pia tunafanya surveying (tafiti kubaini uwepo wa maji) kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba zetu ni 0762484200/0627431955

IMG_8542.jpg

IMG_8534.jpg
 

Attachments

  • IMG_8530.jpg
    IMG_8530.jpg
    54.6 KB · Views: 5
wachimbaji visima virefu Tanzania pia tunafanya tafiti za maji ardhini (surveying)

mikoa yote tupo kwa maelezo sahihi ya mteja wapi upo mkoa gani na sehemu gani basi wasiliana nasi kwa namba

-0762484200
-0627431955

karibuni: IMG_0387.jpg
Ninawahitaji kwa haraka mkuu
 
Back
Top Bottom