Mkuu Tatizo hujaweka bei za uhamisho kwa mfano nataka kutoka Dar kuja Arusha bei gani kwa uzito gani na mizigo gani Watu wafanye tathmini...
Au Kutoka moshi mpaka Tanga au Tanga mpaka mwanza au singida mpaka Dodoma au Tabora mpaka msata au Kigoma mpaka kagera...
Panga kazi yako watu watakuja tu