Manase fast courier
JF-Expert Member
- Mar 23, 2021
- 571
- 336
- Thread starter
-
- #261
mbekenyera mnafikisha mzigo?Kazi kazi…hakuna kulala, tupigie 0718072707
Mbekenyera ndowapi boss😂mbekenyera mnafikisha mzigo?
Kama yeye ni courier service atakuwa amesajiliwa na tcra kwa hiyo huduma yake itakuwa ya kuaminikaKuna Mtu hapa anatafutwa kupigwa na atapatikana tu.
We naye unawaza kupigwa tu muda wote!Kuna Mtu hapa anatafutwa kupigwa na atapatikana tu.