Tunatoa huduma ya kukata miti maeneo ya ujenzi

Tunatoa huduma ya kukata miti maeneo ya ujenzi

Zogolo1550

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
39
Reaction score
16
Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine.

Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam.

Bei zetu ni nafuu sana

Mawasiliano: 0758700852/0694340728

7A49AD71-EAE2-42DE-9D94-6A0E9C60C9DE.png
 
Asee we jamaa nashukuru sana kwa huduma yako sikuwa amani kama hutavunja nyumba yangu lakini umeweza kuifanya kazi kwa ustadi mkubwa sana, nitakutafuta tena
 
Karibu tena boss japo sijui hata ni wapi nilikufanyia hiyo kazi yako
 
Hahaha usijali ndugu wakati mwingine tutawekana wazi tujuane maana hata wewe hukujua kama nilipata namba zako huku
 
Back
Top Bottom