Zogolo1550 Member Joined Dec 2, 2018 Posts 39 Reaction score 16 Sep 27, 2024 #1 Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine. Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam. Bei zetu ni nafuu sana Mawasiliano: 0758700852/0694340728
Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine. Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam. Bei zetu ni nafuu sana Mawasiliano: 0758700852/0694340728
W White drone JF-Expert Member Joined Mar 20, 2023 Posts 201 Reaction score 386 Sep 27, 2024 #2 Asee we jamaa nashukuru sana kwa huduma yako sikuwa amani kama hutavunja nyumba yangu lakini umeweza kuifanya kazi kwa ustadi mkubwa sana, nitakutafuta tena
Asee we jamaa nashukuru sana kwa huduma yako sikuwa amani kama hutavunja nyumba yangu lakini umeweza kuifanya kazi kwa ustadi mkubwa sana, nitakutafuta tena
Zogolo1550 Member Joined Dec 2, 2018 Posts 39 Reaction score 16 Sep 28, 2024 Thread starter #3 Karibu tena boss japo sijui hata ni wapi nilikufanyia hiyo kazi yako
W White drone JF-Expert Member Joined Mar 20, 2023 Posts 201 Reaction score 386 Sep 28, 2024 #4 Hahaha usijali ndugu wakati mwingine tutawekana wazi tujuane maana hata wewe hukujua kama nilipata namba zako huku
Hahaha usijali ndugu wakati mwingine tutawekana wazi tujuane maana hata wewe hukujua kama nilipata namba zako huku
Zogolo1550 Member Joined Dec 2, 2018 Posts 39 Reaction score 16 Sep 28, 2024 Thread starter #5 Sawa boss karibu sana