Tunatoa huduma ya ulinzi maeneo mbalimbali

Tunatoa huduma ya ulinzi maeneo mbalimbali

matundatz

Member
Joined
Dec 30, 2024
Posts
14
Reaction score
8
ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED
P.O. BOX 30112
KIBAHA - PWANI

Simu: 0656 166 742
Barua pepe: eshodmang23@gmail.com

ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED tunapenda kukutaarifu kwamba tunatoa huduma bora za ulinzi kwa maeneo mbalimbali, yakiwemo:

Ofisi za serikali na binafsi

Shule, vyuo, na taasisi za elimu

Mabenki na taasisi za kifedha

Viwanda na maghala

Hoteli, migahawa, na maeneo ya starehe

Majumbani


Huduma zetu zinasimamiwa na wataalamu wenye uzoefu mkubwa, waliofunzwa kukabiliana na changamoto zote za kiusalama kwa weledi na uaminifu.

Kwa huduma za uhakika za ulinzi, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyo hapo juu.

ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED – Usalama wako, kipaumbele chetu!
 
Mna bunduki ngapi?isije ikawa mna marungu tu.
 
Back
Top Bottom