Tunatoa huduma za kusajili Jina la biashara, Kampuni na Incorporated Trustees

Ipo ivi kama unataka kuipata kwa urahisi jaza kwamba unaenda kusoma nje,ukufika kule watadai vyeti vya shule kuthibitisha wewe ulikuwa ni mwanafunzi na huo ndo utakuwa uthibitisho wako wa safari.Mimi nimeipata kwa njia hii.
 


USAJILI WA KAMPUNI.

Kampuni ni mjumuiko wa watu wawili au zaidi wenye nia ya kufanya biashara halali na kuusajili mjumuiko huo chini ya Sheria ya kampuni.

Aina za Kampuni

1. Kampuni ya kigeni
2. Kampuni binafsi
3. Kampuni ya umma
Faida za Urasimishaji Kampuni ni zipi?

1. Kuipatia utu wa kisheria biashara yako
2. Kutambulika na taasisi za fedha mf. benki wakati wa kufungua akaunti.
3. Kupata mikopo katika taasisi za fedha kama benki.
4. Kupanua wigo wa kufanya biashara kubwa, mf. biashara za kimataifa
5. Urahisi wa kuitangaza kampuni kwa urahisi na kupanua wigo wa wateja.

Vigezo vya kusajili Kampuni

1. Mwombaji anatakiwa kuwa na namba ya kitambulisho cha Taifa kutoka NIDA
2. Namba ya kitambulisho cha Taifa kutoka NIDA ya kila mwanahisa
3. Namba ya kitambulisho cha Taifa kutoka NIDA au pasi ya kusafiria kwa raia wa kigeni na namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) ya kila mkurugenzi.


USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA

Jina la biashara ni nini?
Jina la biashara ni utambulisho wa biashara fulani inayofanywa na mtu au kikundi cha watu. Hivyo mtu mmoja au kikundi cha watu wasiozidi 20 wanaweza kusajili jina la biashara. Mfano wa majina ya biashara ni Ali Entreprises, Rose Beauty Salon au John Urassa Investments, n.k

Faida za Urasimishaji wa Jina la Biashara ni zipi?
1. Kulipa jina la biashara utambulisho wa kisheria
2. Kulinda jina la biashara lisitumiwe na mtu mwingine.
3. Kutambulika na taasisi za fedha mf. benki (wakati wa kufungua akaunti).
4. Kupata mikopo katika taasisi za fedha kama benki.
5. Kuifanya biashara yako kutambulika kisheria.
6. Kuitangaza biashara kwa urahisi na kupanua wigo wa wateja.

Vigezo vya kusajili Jina la biashara.
1. Jina la biashara linalokubalika kisheria.
2. Mwombaji awe Mtanzania.
3. Awe na umri kuanzia miaka 18.
4. Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN)
5. Namba ya simu iliyosajiliwa ya kwake binafsi.
6. Anuani ya baruapepe hai (binafsi)
7. Anuani ya eneo la biashara.
8. Anuani ya makazi ya mmiliki au wamiliki wa biashara.
 

Attachments

  • Social Media Banner.jpg
    159.5 KB · Views: 8
Kwa maitaji ya huduma zifuatazo:
1. Kusajili Jina La Biashara.
2. Kusajili kampuni.
3. Maombi ya Passport.
4. Maombi ya Visa.
5. Logo na Posters Designs.
6. Kukata ticket za ndege.
7. Web Designing
8. Scholarships

[emoji625]Office yetu inapatikana:

Jengo la: White Beach Park,
Tangi Bovu,
Mbezi Beach,
Dar es Salaam, Tanzania.
 

Attachments

  • Social Media Banner.jpg
    117.2 KB · Views: 8
Habari wanaJF..
Tunawakaribisha Bryte Sky Links!

Tunatoa huduma zifatazo:
  • [x] Web Designing.
  • [x] Logo, Banners, Poster Designs.
  • [x] Social Media Advertisements.
  • [x] Business name & Company Registration.
  • [x] Airline Reservations and Bookings.
  • [x] Passport Applications.
  • [x] Visa Applications & Appointments.
  • [x] Study Abroad Programs.(Scholarships included)
  • [x] Computer Maintenance & Repair.
 
TUNASAJILI KAMPUNI

Kampuni ni mjumuiko wa watu wawili au zaidi wenye nia ya kufanya biashara halali na kuusajili mjumuiko huo chini ya Sheria ya kampuni.

Aina za Kampuni

1. Kampuni ya kigeni
2. Kampuni binafsi
3. Kampuni ya umma
Faida za Urasimishaji Kampuni ni zipi?

1. Kuipatia utu wa kisheria biashara yako
2. Kutambulika na taasisi za fedha mf. benki wakati wa kufungua akaunti.
3. Kupata mikopo katika taasisi za fedha kama benki.
4. Kupanua wigo wa kufanya biashara kubwa, mf. biashara za kimataifa
5. Urahisi wa kuitangaza kampuni kwa urahisi na kupanua wigo wa wateja.

Vigezo vya kusajili Kampuni

1. Mwombaji anatakiwa kuwa na namba ya kitambulisho cha Taifa kutoka NIDA
2. Namba ya kitambulisho cha Taifa kutoka NIDA ya kila mwanahisa
3. Namba ya kitambulisho cha Taifa kutoka NIDA au pasi ya kusafiria kwa raia wa kigeni na namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) ya kila mkurugenzi.

Tunapatikana Tanki Bovu, Jengo la “MBEZI PARK”, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Office number “121” Ground floor.

Karibuni Sana.
 
Address:
Tunapatikana Office number 121: "White Beach Park", Tanki Bovu,
Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania.
 
Habari. Napenda kuwakaribia Bryte Sky Links.
Tunatoa huduma za:
• Web Designing. • Logo, Banners, Poster (Graphics)Designs. • Social Media Advertisements. •Business name & Company Registration. • Flight Reservations and Bookings. •Passport Applications. •Visa Applications and Appointments. •Study Abroad Programs.(Scholarships included). •Computer Maintenance & Repair..

Tunapatikana Jengo la “Mbezi Park”. Bagamoyo Road, Tanki Bovu, Mbezi Beach
Karibuni sana.
 
Tunapatikana Jengo la White Beach Park opposite na sheli ya PUMA, Tanki Bovu - Mbezi Beach.

Nawakaribisha wote wenye mahataji ya:

• Blog / Web Designing.
• Logo, Banners, Posters (Graphic Designs).
• Social Media Advertisements.
• Business name & Company Registration. (BRELA)
• Flight Reservations and Bookings.
• Passport Applications.
• Visa Applications and Embassy Appointments.
• Study Abroad Programs.(Scholarships included)
• Computer Maintenance & Repair.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…