Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

TAARIFA

Tumesimamisha uzalishaj kwenye kituo kikubwa cha kuzalisha na kusukuma maji cha Mzakwe, baada ya moto mkubwa kuzuka eneo la mbugani.

Uzalishaji utarejea baada ya moto huo kuzimwa.

DUWASA inawaasa kutumia maji kwa uangalifu.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

Kwa Mawasiliano zaidi piga namba 0800110078
 
Ningekusaidia hivi... gharama za uchimbaji mmngeziainisha kulingana na matokeo ya kijiolojia. Kisha kukawa na gharama za usafiri kwa kipimo cha umbali (kilomita)
 
Ningekusaidia hivi... gharama za uchimbaji mmngeziainisha kulingana na matokeo ya kijiolojia. Kisha kukawa na gharama za usafiri kwa kipimo cha umbali (kilomita)
Sawa mkuu, Ila kuna vipengele viingi Saana ambapo ili kuongeza ufanisi tunaomba mtu atumie namba 0752925925 kupiga simu ili kupata huduma kulingana na alipo. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…