Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Ongeza sauti mkuu
Majibu hupatikana baada ya kuchimba kisima na kuwa soft or salinity normally are probabilities 1/3 and not otherwise na kuna sehemu ukichimba zaidi ndipo unapata maji baridi na laini hata Dar.Kuna visima tulichimba 2005-07 Vijimbweni,Mwongozo,Kimbiji,Pemba mnazi na Tundu songani kote mita 800 @1 maji laini mno but zoezi lililenga oil exploration na Wairan Fulani tulifanikiwa vyema KAMWENE!!!
 
Kamwene mnoge
 
Nipe datail za kutosha mkuu Kama watanifungia nilipe kidogo dogo nikimaliza nabaki na sola yangu
Kampuni ya mysol wanakaribia ku-launch hiyo program ...kwa sasa naona wapo kwenye majaribio ya pump....subiri utaweza. Makampuni yapo Ila kuna changamoto kwenye baadhi ya vifaa vyao.

Ukipata muda watembelee kwenye mkoa wako
 
Shukrani mkuu
 
Vipi kama maji ni ya chumvi, kuna utaalamu gani wa kuondoa chumvi hizo iki yatumike na je huo utaalam ni wa kudumu au ni temporary ?
Unatumia vifaa, kinaitwa reverse osmosis ...vipo vya site tofauti kulingana na mahitaji yako. Vinauzwa
 
Back
Top Bottom