Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Niko wilaya ya Gairo mkuu , kwa experience yako maji yanaweza kuwa urefu gani kutokea juu , ili nijikakamue niandae kibunda kwa ajili ya uchimbaji !!
Me nachimba kwa ajili ya kilimo !!!
Kihonda Pale Puma ipo Kampuni
Mimi Niliitumia Kuchimba Kisima Kingolwira Hapo Na Maji Yakatoka
Pakavu Mno Pana Mwamba Mkali
Ukitaka Number Nitakupa
Nakushauri Watembelee Wewe Mwenyewe Utapata Matokeo

Bei Yake Ilikuwa Ya Chama Na Serikali Ama Ile Ya Chama Cha Walimu
 
Ile kwamba wewe hufanyi usi conclude kwa wengine,ndio maana leo kuna vifaa vya kutambua madini mbalimbali kwenye ardhi kwanini kwenye maji ishindikane.
Haya mwambie uyo mwagito asome hapo
 
Attachments

  • IMG_20230716_111707_185.jpg
    IMG_20230716_111707_185.jpg
    5.7 MB · Views: 6
Kihonda Pale Puma ipo Kampuni
Mimi Niliitumia Kuchimba Kisima Kingolwira Hapo Na Maji Yakatoka
Pakavu Mno Pana Mwamba Mkali
Ukitaka Number Nitakupa
Nakushauri Watembelee Wewe Mwenyewe Utapata Matokeo

Bei Yake Ilikuwa Ya Chama Na Serikali Ama Ile Ya Chama Cha Walimu
Shukrani sana mkuu, nipee contact zao , nitawatembelea pia !!
 
Ukihitaji survey ya viwango nicheki
Akucheki ni vizuri lakini usidanganye watu kwa tamaa ya pesa, maji utafanya utafiti na kweli utakuwa upo sahihi. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba kiwango na ubora wa maji hujulikana baada ya kuchimba..
 
Mkuu uko sahihi me pia niko ground water niko kwenye mabonde iwe terrameter ama PQWT ama detector yoyote haijui ubora wa maji unless umesha drill yametoka ndo upeleke sampulu
 
Usimalize maneno we mzee...muulize simba hotel hapo dodoma mabalas niliyofanya kwenye kumchimbia kisima
Boss, maeneno ilipo Simba hotel ni maeneo yenye bahati ya maji baridi, yaan area A,C, D ilazo, kisasa na mlimwa C yana base ya maji yasiyo na chumvi, sio kwamba ulipata maji baridi kwa sababu wewe ndio uliyatafuta.

Sema ukweli hata kama unauma. Kupata maji baridi au sio baridi ni mapenzi ya Mungu sio kwa sababu umepima wewe au kutafuta.

Ujuzi wako uliishia kuipata point yenye wastan mzur WA upatikanaji WA maji baaasi, mengine Mungu akafanya kazi yake
 
Mkuu uko sahihi me pia niko ground water niko kwenye mabonde iwe terrameter ama PQWT ama detector yoyote haijui ubora wa maji unless umesha drill yametoka ndo upeleke sampulu
Asante mdau watu wanatamani hela za watu kwa kuwadanganya. Halafu wanakomaa kabisa.

Nina zaidi ya miaka nane kwenye uchimbaji huo uongo WA hapo juu haukubaliki.
 
Boss, maeneno ilipo Simba hotel ni maeneo yenye bahati ya maji baridi, yaan area A,C, D ilazo, kisasa na mlimwa C yana base ya maji yasiyo na chumvi, sio kwamba ulipata maji baridi kwa sababu wewe ndio uliyatafuta.

Sema ukweli hata kama unauma. Kupata maji baridi au sio baridi ni mapenzi ya Mungu sio kwa sababu umepima wewe au kutafuta.

Ujuzi wako uliishia kuipata point yenye wastan mzur WA upatikanaji WA maji baaasi, mengine Mungu akafanya kazi yake
Kuna kisima tulichimba chuo cha udaktari cotc kipo lindi yaani kutoka Baharini Beach ni kama mita 200 tu cha ajabu yanmetoka maji hayana chumvi hata kidogo wanayatumia mpaka Leo wanakunywa wanafunzi ..depth ilikuwa ya kawaida 120 m.
 
Je ubora wa maji ulioneshwa na kipimo au lah?
 
Mwaka Jana kigamboni nilichimba kisima mitaa ya mbuyuni pale nikapata maji baridi, mpka mteja akashangaa. Lakin sio kwa sababu kipimo kilisema ni maji baridi.....ikitokea tu
 
Water quality mpaka analysis ya maabara mzee..machine ni kwa ajili ya kujua resistivity ya mwamba husika na bado unaweza kujichanganya ukatoa dry je chumvi si ndo huwezi kujua lolote...hazina isiyoonekana ni mtihani kaka assume point inakupa dry mita 150 ..unamueleza nini client wako???[emoji16]
 
Najua, Ila kuna wadanganyifu wanasema Sisi hatujui Ila wao ndio wanajua na Wana kipimo.
 
Mwaka Jana kigamboni nilichimba kisima mitaa ya mbuyuni pale nikapata maji baridi, mpka mteja akashangaa. Lakin sio kwa sababu kipimo kilisema ni maji baridi.....ikitokea tu
Ni kama bahati tu kuna siku tumechimba maeneo ya rondo plateu kama unavojua elevation yake ni above 500 m sasa kimechimba hiko kwenye 140 m yamefumuka maji hayo yaani kukawa bahari kijijini wanakijiji wakatupa mpaka mademu bure na kuku...ni kama zali tu hizi kazi
 
Back
Top Bottom