Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Huko mkoani kwetu, visima vilivyopo vinakua na maji ya chumvi. Shida ni nini, kina kifupi au ndivyo ukanda wake ulivyo? Inawezekana kupata maji ysiyo na chumvi eneo kama hilo?
 
Habari, ni asili ya eneo. Inawezekana kupata lakini sio kwa ujanja WA kibinadamu ni by chance tu.
 
Back
Top Bottom