Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

vipi mkuu , Pampu yangu imekata mpira na kuzama chini, hapa mkoje...
 
Kuna mafundi wana vifaa vya kutolea pampu iliyonasa au kukatika mpira na kuzama
Hilo zoez huwa linafanyika lakin Halina ufanisi wa 100/100 ..inaweza kutoka au ikashindikana
 
Mvua ni za msimu ....kisima ni cha kudumu
 
Karibu tukushauri namna nzuri ya kuchimba kisima cha uhakika
 
Kisima ndio jawabu la kudumu kwa tatizo la maji majumban kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…