Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Kazi iendelee ... Kituo kinachofuata na kwako.... Karibu
 
Hakuna jua wala kiu kama ukiwa na maji ya kisima ya kutosha.... Karibu upate suluhisho
 
Amua kuchimba kisima sasa....karib tukuhudumie
 
Suluhisho la kisima cha maji ni sisi... Karibu
 
Endelelea kutafakari weekend huku ukifanya maamuzi ya kuchimba kisma
 
Jumapili njema, huku ukifikiri kumiliki kisima. Karibu
 
Huduma zetu zinaendelea ... Karibu tukuhudumie
 
Kumekucha .... Tunashukuru Mungu. Karibu tufanye kazi
 
Asante Mungu ametuamsha salama... Twende tukapambane....karibu
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]OFFERRRR[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Habari za asubuh... Tushukuru Mungu kwa kuamka salama.... Karibu tuchimbe kisima kwa ustawi wa kilimo na mifugo
 
Boss ninakusalimia. Hongerah kwa kazi njema. Nina ki-plot nje kidogo ya Mji wa Dodoma barabara ya Mvumi baada tu ya kutoka Ntyuka. Nipe makisio complete kuanzia survey, kuchimba na kuweka pump(pump ya jua, preferably) eneo hilo halina umeme. I will be waiting.
 
Karibu... Anyway ok

Kuchimba +Upvc 80,000/=
Kupima maji 600,000=

Kibali cha kuchimba 300000/=

Pump(bila solar system) na vifaa vyake 1,670,000/=

Mobilization 500000/=

Kufunga pump 300000/=

NB: KAMA ITAKUWA NI MITA MIA ... JUMLA ITAKUWA 11,370,000/=

Tunakuachia maji yanatiririka mlangoni kwako
 
Back
Top Bottom