Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Masika inaendelea lakini kiangazi kinakaribia.
 
karibuni wadau wote kwa maandalizi ya kujipatia huduma ya kuchimbiwa kisima chenye maji ya uhakika
mawasiliano 0658 343463/0752925925/0682276767
 
hili jua linalowaka ni salam tosha kwa wadau wa kilimo na ufugaji kuwa kuna siku kiangazi kikali kitakuja na huenda kikaathiri shughuli zako kwa kiasi kikubwa saana. karibu tujadili kutafuta ufumbuzi wa tatizo linaloweza kujitokeza hapo baadae
 
Habari wadau wa kilimo na uvuvi. siku za hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za mabadiliko ya hali ya hewa iliyopelekea vyanzo vya maji vya asili kupunguza uzalishaji maji ikiwemo mito na mabwawa ya asili, wadau wa kilimo wamekuja na kutumia teknolojia ya uchimbaji wa visima virefu kama mbinu ya kujipatia ,aji kwa ajili ya shughuli zao.

Pamoja na jitihada hizi kuzaa matunda mazuri kwa wadau mbalimbali lakini pia jitihada hizi kwa upande mwingine pamekuwa na changamto za kuwaachia wadau wa maendeleo ya kilimo makovu na vilio vya kudumu vinavyosababishwa na kukosa maji baada ya kuchimba hatimaye hasara kubwa na kufilisika kabisa.

Kwa kulitambua hili ningependa kushiriki nanyi sababu za kukosa maji wakati wa kuchimba visima, lengo likiwa ni kutoa Elimu ili watu waweze kuepuka hasara kwani uchimbaji wa visima virefu ni gharama kubwa. Zifuatazo ni sababu anuai za kukosa maji:-

(a) Tatizo la kiutafiti: kwa kawaida kabla ya kuchimba maji ni lazima kufanya utafiti wa uwezekano wa upatikanaji wa maji katika eneo husika. Baada ya utafiti mafiti hutakiwa kubainisha upatikanaji wa maji katika eneo hilo. sasa kutokana na ugumu wa maisha kuna watu wanafanya tafiti lakini hawana taaluma hiyo hivyo kutoa majibu ambayo yatakosa ufanisi hivyo kupelekea kukosa maji. hivyo ni muhimu kujiridhisha na mtu anayefsnys utsfiti katika eneo lako.

(B) Tatizo la vifaa sahihi, watu wengi hawajui vifaa sahihi vinavyofaa kufanya geophysical water survey, kama ABEM, LS, Magnet nk. kwahiyo anapokuja mtafiti kufanya utafiti mteja anaweza fanyiwa na vifaa ambavyo vina mapungufu ambavyo mwishowe hutoa majibu ya uongo yasiyo na tija. ili kupat majibu yenye ufanisi ni lazima vifaa vya kisasa na vyenye ubora mzuri kutumika ili kuepuka hasara. Ingawa hapa mara kadhaa limekuwa linachangiwa na pande mbili hasa upande wa mchimbiwaji kwani akiambiwa gharama halisi za utafiti hupelekea mtafiti kuchukua mitambo yenye nafuu kwake ili kujipatia faida. NB: si muda wote gharama kubwa huleta matokeo chanya.

(C) Kuamini nadharia kuliko sayansi, kuna kundi la watu wanamini saana asili, si kitu kibaya lakini ni muhimu pia taaluma zikaheshimiwa kwani asili ni kama vishiria vya awali ili kuleta matokeo chanya. kwenye hili utasikia mtu anasema nilichimba shimo la choo nikapata maji kwa hiyo kufanya tafiti ni kupoteza hela tu. mwisho wa siku pakichimbwa linatoka vumbi tu afu mchimbaji analaumiwa saana wakati si yeye aliyesababisha .

(D) Uongo na tamaa za watafiti , kwa kuwa taaluma ya utafit wa maji sio jambo lililozoeleka miongoni wa jamii zetu, watafiti hutumia mwanya huo kutumia njia za uongo zisizo na majibu yenye ufanisi wa juu iliwemo matumizi ya kopa waya. hebu angalia fikiria mtu umemlipa milion moja aje akufanyie tafiti halafu anakuja na waya wa 45000 kufanya utafiti kiukweli inaleta ukakasi saana. sio kwamba huwa hazitumiki la hasha, bali hutumika kwa pamoja na mashine zinazotumia umeme lakini zikitumika pekeake hazina majibu ya ukweli mkubwa.
kwa upande wa tamaa za watafiti ni pale mtu amegundua eneo lina upatikanaji hafifu wa maji anashindwa kumweleza ukweli mteja kwani anaogopa atakosa kazi za kuchimba. ukweli ni kwamba mtafiti anapaswa kutoa majibu ya aina yoyote kwa mteja haijalishi ni ya kuumiza au kufurahisha ili kuzoea hasara endelevu. Inaumiza saana kumsababishia mtu hasara za makusudi kwani inaleta umasikini usiokubalika. kuepuka hili ni vyema kuhakikisha anayekupimia ndio atachimba ili kuepuka dana dana. lakini endapo mpimaji anaaminika haina shida kwani ukiwa na majibu mazuri unaweza chimbiwa na mtu yeyote kwa utumia ripoti za mpimaji .

NB: Mambo manne ya hapo juu ni vyanzo ambatano vinaweza kusababisha hasara. Hivyo ili kupata majibu mazuri ni bora kuwa makini na hizo sababu.
kwa usahuri zaidi karibu.

Mawasiliano 0658343464
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Je kuna uwezekano nikachimba kisima nikapata maji matamu!?

Ni mambo gani ynayoweza ashiria upatikanaji wa maji matamu i mean yasiyo na chumvi
 
Ndio,Uwezekano upo tena mkubwa saana tu,

Viashiria ni kujua historia ya mwamba na asili ya eneo husika.

NB:UPIMAJI HAUWEZI KUTOA JIBU LA 100% kama maji ni chumvi au sio chumvi lakin sababu zingine ambatano ndio zinaweza.
 
Back
Top Bottom