Tunatoa mafunzo ya uchapaji wa tshirts

Tunatoa mafunzo ya uchapaji wa tshirts

mzalendo namba moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
537
Reaction score
837
Tafadhari rejea kichwa hapo juu, kama ambavyo tumekuwa na sessions kadhaa za ujifunzaji wa namna ya uandaaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kama:- 1) sabuni ya mchele na ya maji kwa ujumla wake 2)lotion na mafuta ya mgando 3) trick za uandaaji wa dawa ya viatu pamoja na dawa ya meno na vingine vingi, leo napenda kuwaletea mafunzo ya uchapaji wa tshirts na hii nitaifanya physically na very practical, darasa letu la kwanza litakuwa mwanza.
kuna malipo kidogo kila mshirika atachangia ambayo ni Tshs elfu kumi na tano tu (15000/=) ambayo itatolewa siku ya mafunzo. Siku ni jumapili kuanzia saa saba mchana mpaka saa moja jioni na kuhusu venue nitatoa maelekezo kwa washirika watakao kuwa tayari, washirika ni wale tu watakao piga simu na kutoa taarifa ya usajili unless otherwise sitapokea mshirika ambaye sijamsajili kabla ya siku ya mafunzo.
MWANZA, fursa imekuja ikamatilie
MAWASILIANO:0679271774
 
Back
Top Bottom