Tunatongozwa bila vinywaji

Tunatongozwa bila vinywaji

bongo-live

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
1,141
Reaction score
1,294
Sasa hivi tunatongozwa bila vinywaji!;;;;;; akikuona atakuomba namba!;;;; akifik yumbani kwake anachukua cm anaanza kukutumia vi emoji vya cm; chupi na brazia; atakuuliza nije lini; mkikutana unaona jengo limeandikwa guest house heeeee heeee;;;; unawazimu????
 
hahah inaelekea nyie ndo mkitextiwa nakuitwa jina la BABY unahc tayar anakupenda kumbe jina hilo ni express uaself ndo maana unajikuta unakaribishiwa guest kiurahs.
 
Unatakiwa kwenda na hali halisi. Utatumbuliwa jipu shauri zako.
 
Sasa hivi tunatongozwa bila vinywaji!;;;;;; akikuona atakuomba namba!;;;; akifik yumbani kwake anachukua cm anaanza kukutumia vi emoji vya cm; chupi na brazia; atakuuliza nije lini; mkikutana unaona jengo limeandikwa guest house heeeee heeee;;;; unawazimu????
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160]
 
Njoo PM ujipatie vinywaji kuna ka-pub apa naka-miliki
 
Hayo ndio matokeo ya utandawazi kuna hasara na faida.
 
Back
Top Bottom