Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tupo siriazi kwelikweli....Convoy ya Magufuli ni kama ya Kim wa North Korea
Convoy ya Magufuli ni kama ya Kim wa North Korea
Sikia mjinga...…!Umeona msafara wa Raila Odinga? Gari karibu mia moja askari 30..Hayo yote kwa kodi yako ilihali Odinga sio mfanyakazi wa serikali, hana kiti chochote kwa serikali
Vile naona unabidii ya kutafuta video za kishenzi tafuta convoy ya Odinga ulete tuhesabu magari😝😝Raila hana more than 4 vehicles
Lipa kodi mzee wacha kuwashwa washwa..Raila lazima atembelee V8 Kama kumi zikifuatanaSikia mjinga...…!
Hapo sio Dar,ila hata Dar vumbi lipo. Vipi Nairobi hamna vumbi?Hiyo ni barabara ya lami inatoa vumbi hivo? Kama ni dar basi huwa over rated 😀
Convoy ya Magufuli ni kama ya Kim wa North Korea
Convoy ya Magufuli ni kama ya Kim wa North Korea
Nairobi kuna tope balaa japokuwa hakuna mvuaHapo sio Dar,ila hata Dar vumbi lipo. Vipi Nairobi hamna vumbi?
Convoy ya Magufuli ni kama ya Kim wa North Korea