Tunatumia pesa zetu

Tunatumia pesa zetu

Convoy ya Magufuli ni kama ya Kim wa North Korea


Magufuli ni rais wa aina yake hapa duniani, mpende msipende ni lazima Uhuru Kenyatta aige utendaji wa Magufuli, hapo yupo katika ziara ya mikoa ya kusini, yupo na naeaziri takriban 5 kwa ajili ya kujibu kero za wananchi papo kwa papo, hayo MAGARI nusu yake ni MAGARI ya mawaziri. Magufuli hoyeeeeeeee
 
Hiyo convoy inanikumbusha ule wa moi miaka ya 80s and 90s afu eti wanasema tz kuna amani 😀
 
Back
Top Bottom