Nairobi vumbi inatoka wapi ndugu yangu? Nairobi ni carpet ya simiti.Hapo sio Dar,ila hata Dar vumbi lipo. Vipi Nairobi hamna vumbi?
Mtu asieijua Nairobi anaweza dhani ni kama ZurichNairobi vumbi inatoka wapi ndugu yangu? Nairobi ni carpet ya simiti.
Presidential budget for transportation ya Tz ni less than 2% ya kenya.One of the poorest countries in the world inajitutumua kifua namna hii?
Dah, naona umetupa kijembe hapo. Naona huamini kwamba Nairobi ni zulia la simiti. Tembea ujionee mengi.Mtu asieijua Nairobi anaweza dhani ni kama Zurich
Hivi kunaye nungunungu yeyote yule mwenye ubavu wa kumpangia mtakatifu Yohana bajeti yake ya ulinzi na usafiri?Presidential budget for transportation ya Tz ni less than 2% ya kenya.
Kettle calling pot black.....idiot!One of the poorest countries in the world inajitutumua kifua namna hii?
Presidential budget for transportation ya Tz ni less than 2% ya kenya.
Yaani unalinganisha Tanzania na Kenya. Wacha kuvuta bangi kutoka Moshi. Kenya iko ligi nyingine.Kettle calling pot black.....idiot!
Mvuta bangi hapa anajulikana.Yaani unalinganisha Tanzania na Kenya. Wacha kuvuta bangi kutoka Moshi. Kenya iko ligi nyingine.
Mji wao sio vumbi barabarani hata makoti yao piaHapo sio Dar,ila hata Dar vumbi lipo. Vipi Nairobi hamna vumbi?
Nawachora tu washamba haoMji wao sio vumbi barabarani hata makoti yao pia
Halafu harufu usiseme
[emoji38][emoji38]Nawachora tu washamba hao
Nyie hata mko karibu kutinga watu milioni sitini. Kazi mnayoifahamu vyema ni kucheza bedminton lakini ikifika ni kuchapa kazi, nyie mnashindwa kuchapa kazi.Mvuta bangi hapa anajulikana.
Economic terrorism.Kwani Tanzania kuna threat ya terrorism....
Ulishaangalia population vs size ya nchi yetu au unajongea tuu?Nyie hata mko karibu kutinga watu milioni sitini. Kazi mnayoifahamu vyema ni kucheza bedminton lakini ikifika ni kuchapa kazi, nyie mnashindwa kuchapa kazi.
Hivi kati ya Kenya ambao eneo lenu ni nusu ya Tanzania lakini idadi yenu mpo karibia 50M na Tanzania tupo karibia 55M lakini eneo ni karibu Mara mbili ya Kenya, wapi wanazaana sana?, au hata kulijua hili pia kunahitaji Dr. Ndii awaeleweshe?Nyie hata mko karibu kutinga watu milioni sitini. Kazi mnayoifahamu vyema ni kucheza bedminton lakini ikifika ni kuchapa kazi, nyie mnashindwa kuchapa kazi.
Yohana hata hana ushawishi wowote nini kitafanyika kwa ulinzi wake, Hiyo amewachia JWTZ na TISS..Wanacho mwambia anafuataHivi kunaye nungunungu yeyote yule mwenye ubavu wa kumpangia mtakatifu Yohana bajeti yake ya ulinzi na usafiri?