Tunatumia pesa zetu

Tunatumia pesa zetu

Ulinzi wa aina hii unatumika nchi masikini ili kuwatisha wasilete shida afu wakahadithiane vijiweni vile kiongozi wao ana ulinzi mkali km nchi za ldc CAR, S Sudan, Uganda na Tanzaganda.
tempid Nairobi kiatu ukingarisha kwa nta ya kanuba utatembea kwa angalau siku 5 kabla kiparare...vile umesema ni kama Zurich ilhali dar slum ni kama upgrade ya bujumbura.
 
We ride on decent roads sio juu ya garbage Nairobi, tena wala huku sio Dar
 
Mvuta bangi hapa anajulikana.
Nyie hata mko karibu kutinga watu milioni sitini. Kazi mnayoifahamu vyema ni kucheza bedminton lakini ikifika ni kuchapa kazi, nyie mnashindwa kuchapa kazi.
 
Nyie hata mko karibu kutinga watu milioni sitini. Kazi mnayoifahamu vyema ni kucheza bedminton lakini ikifika ni kuchapa kazi, nyie mnashindwa kuchapa kazi.
Hivi kati ya Kenya ambao eneo lenu ni nusu ya Tanzania lakini idadi yenu mpo karibia 50M na Tanzania tupo karibia 55M lakini eneo ni karibu Mara mbili ya Kenya, wapi wanazaana sana?, au hata kulijua hili pia kunahitaji Dr. Ndii awaeleweshe?
 
Back
Top Bottom