Tunatumia pesa zetu

Tunatumia pesa zetu

Tunatumia pesa zetu kumuwekea magu mafuta ya escort vihecles badala ya kuwalipa waliostaafu mafao yao. Manze hata enzi za moi mafao yalilipwa walio staafu, tz hata sio ya 90s ni stone age...hawa wanahitaji tuwacolonize.
 
Yaani unalinganisha Tanzania na Kenya. Wacha kuvuta bangi kutoka Moshi. Kenya iko ligi nyingine.
Labda ligi ya ushoga.hivi tony bado ujapata Mume wa kizungu huko uliko uje uwalingishie wakenya wa naii
 
Hii ni ziara ya kikazi wizara zote lazima ziwepo ili wananchi wapate suluhisho matatizo yao. sasa ninyi wakenya pili pili msiokula yawawashia nini
 
Back
Top Bottom