Tunatumia vibaya neno "tafuta hela"

Tunatumia vibaya neno "tafuta hela"

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Nimeona uzi flani wa mdau kaenda GSM MALL SHOP kaona kitanda kinauzwa 8M kaja na uzi anatushauri tutafute hela. Najiuliza tutafute hela kwa ajili ya kununua vitu vya bei kubwa na starehe nyingi zisizo na maana kisa tumetafuta hela? Naona tutafute hela tuukabili umasikini ila sio kwa kufanya lavish na luxurious life!.

Najua comments nyingi hapa zitakua TAFUTA HELA! TAFUTA HELA! Sikiliza wewe hela zinatafutwa kwa ajili ya malengo sio kwa kuzitapanya kwenye Hennesy, Slayqueen with big butts and other stupid stuff like that!
 
SHARARA-x-REVOLUTION-63-TAFUTA-HELA.jpeg
 
Tafuta pesa, kisha usipangie matumizi pesa za watu,

May be kuna mtu ndoto yake ni atafute pesa ili awachape nao sana slayqueens, mtu kama huyu akitoboa unaweza hisi anapotea kumbe anaishi ndoto zake na ndio alikuwa anatafuta pesa kwa ajiili ya hio,

Sio kila mtu anatafuta pesa ili apate mke na watoto waende shule, wengine wana reason za ajabu za kutafuta pesa,

With that being said, Tafuta pesa sana mkuu
 
Nilisha sema huko nyuma na nitaendelea kusema.

Huu msemo wa tafuta pesa hauna maana na umewatia vijana wengi pabaya.

Pesa hazipatikani kwa siku moja wala mwaka mmoja ni process endelevu vijana wawe na subra na waweke malengo watafanikiwa, ila sio hizi porojo za tafuta pesa.
 
Me nakushaur ukipata helq tumia unavo weza kama kuzipiga mbususu ndo malengo yako piga kama n pombe kunywa haswa kama n kujenga nyumba jenga za kutosha kama kununua gari nunua ya bei kali kama we n kula kula kila mgahawa wa thaman ma KFC huko sw tu usipangie watu nn cha kufanya ikiwa hujui kapataje izo hela
 
Nimeona uzi flani wa mdau kaenda GSM MALL SHOP kaona kitanda kinauzwa 8M kaja na uzi anatushauri tutafute hela. Najiuliza tutafute hela kwa ajili ya kununua vitu vya bei kubwa na starehe nyingi zisizo na maana kisa tumetafuta hela? Naona tutafute hela tuukabili umasikini ila sio kwa kufanya lavish na luxurious life!. Najua comments nyingi hapa zitakua TAFUTA HELA! TAFUTA HELA! Sikiliza wewe hela zinatafutwa kwa ajili ya malengo sio kwa kuzitapanya kwenye Hennesy, Slayqueen with big butts and other stupid stuff like that!
Sikufichi mimi natafuta hela ili nije kufanya starehe za adabu

Ila lazima nitengeneze mazingira nikizipata zining'ang'anie sana
 
Back
Top Bottom