Tunatumia vibaya neno "tafuta hela"

Tunatumia vibaya neno "tafuta hela"

Nimeona uzi flani wa mdau kaenda GSM MALL SHOP kaona kitanda kinauzwa 8M kaja na uzi anatushauri tutafute hela. Najiuliza tutafute hela kwa ajili ya kununua vitu vya bei kubwa na starehe nyingi zisizo na maana kisa tumetafuta hela? Naona tutafute hela tuukabili umasikini ila sio kwa kufanya lavish na luxurious life!.

Najua comments nyingi hapa zitakua TAFUTA HELA! TAFUTA HELA! Sikiliza wewe hela zinatafutwa kwa ajili ya malengo sio kwa kuzitapanya kwenye Hennesy, Slayqueen with big butts and other stupid stuff like that!
Cha ajabu ni unapendwa sana na watu wenye pesa za mtaji tu yaani bado wanajitafuta hawajafikia level za kuponda mali. Wanaishia kuanza moja kila kukicha.
 
Nimeona uzi flani wa mdau kaenda GSM MALL SHOP kaona kitanda kinauzwa 8M kaja na uzi anatushauri tutafute hela. Najiuliza tutafute hela kwa ajili ya kununua vitu vya bei kubwa na starehe nyingi zisizo na maana kisa tumetafuta hela? Naona tutafute hela tuukabili umasikini ila sio kwa kufanya lavish na luxurious life!.

Najua comments nyingi hapa zitakua TAFUTA HELA! TAFUTA HELA! Sikiliza wewe hela zinatafutwa kwa ajili ya malengo sio kwa kuzitapanya kwenye Hennesy, Slayqueen with big butts and other stupid stuff like that!
Haaaaahaaa [emoji1787]
 
Back
Top Bottom