Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Sikufichi mimi natafuta hela ili nije kufanya starehe za adabuNimeona uzi flani wa mdau kaenda GSM MALL SHOP kaona kitanda kinauzwa 8M kaja na uzi anatushauri tutafute hela. Najiuliza tutafute hela kwa ajili ya kununua vitu vya bei kubwa na starehe nyingi zisizo na maana kisa tumetafuta hela? Naona tutafute hela tuukabili umasikini ila sio kwa kufanya lavish na luxurious life!. Najua comments nyingi hapa zitakua TAFUTA HELA! TAFUTA HELA! Sikiliza wewe hela zinatafutwa kwa ajili ya malengo sio kwa kuzitapanya kwenye Hennesy, Slayqueen with big butts and other stupid stuff like that!
Na kweli uongozi wa kituo cha mabasi pale mbezi luisi unatafuta hela.Hili neno tafuta Hela linaharibu vijana...
Wanaishia kuiba wengine...
Naam.Hili neno tafuta Hela linaharibu vijana...
Wanaishia kuiba wengine...
Hili neno linaongoza kuua vijana kwa stressHili neno tafuta Hela linaharibu vijana...
Wanaishia kuiba wengine...
Akiishaanza huo mchezo ataendelezaJuzi kati kuna mmoja kajichanganya kwa Shoga kisa laki 5 kafumuliwa Tunu ya Taifa.