Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa sawa mkuu!Sina swali mkuu, huku kwetu bado tunatumia kuni kupikia
Simple bila complications ni hivi:-Hongera sana mkuu hilo la oil chafu na maji naomba ufafanuzi kidogo
Hiyo ilifanyika katika air cooling system kama ya mafriji,kama sikosei ni theory inaitwa MPEMBA,Sijawahi ijalibu katika mifumo ya Ice block sababu yenyewe haiganishi kwa kutumia hewa.Ni kweli ukitumia maji ya moto kuyafanya kua barafu ''Kuyagandisha'' yanakua yanaganda kwa uharaka zaidi kuliko kutumia maji ya baridi (Maji yenye joto la kawaida)
Atakaye taka msaada wa kuvunja hizo barafu,nipo hapa The Icebreaker