Ni kipindi kirefu washambuliaji wetu wa kigeni kila wanapofika hapa Bongo huwa wanahujumiwa na Mahasimu wetu licha ya kuwa na rekodi nzuriya ufungaji magoli huko watokapo.
Chondechonde tunautaka uongozi wa Simba Sc uhakikishe safari hii washambuliaji wetu hawafanyiwi vitendo vya kishirikina hata kidogo.