Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Ni kipindi kirefu washambuliaji wetu wa kigeni kila wanapofika hapa Bongo huwa wanahujumiwa na Mahasimu wetu licha ya kuwa na rekodi nzuriya ufungaji magoli huko watokapo.
Chondechonde tunautaka uongozi wa Simba Sc uhakikishe safari hii washambuliaji wetu hawafanyiwi vitendo vya kishirikina hata kidogo.
Mpira ni vita
Soma Pia: GB64 atoa tathmini ya usajili wa Simba SC kuelekea msimu wa 2024/2025. Auomba uongozi wa Simba uwalinde wachezaji wageni dhidi ya ulozi wa Yanga SC