Uchaguzi 2020 Tunautakia heri Mkutano Mkuu wa CHADEMA, nyie ndio tumaini la wanyonge halisi

mimi sijapiga kura miaka mingi sana ila kwa mwaka huu nataka nikapoteze muda wangu kwa kupiga kura,ila tukiwekewa kituko wala sikanyagi.

Itakuwa wapuuzi ikifika msimu mnapandikiziwa mtu kan kwamba kama nyie hamjiwezi
 
Safi kabisa CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…