Tunauza au tunanunua umeme?

Tunauza au tunanunua umeme?

davedas

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
163
Reaction score
123
Leo rais Samia amesema wapo kwenye mchakato wa kusaini mkataba ili tununue umeme kutoka kenya kwa ajili ya watu wa Kaskazini..
Sasa najiuliza kuna haja gani ya kununua umeme nchi jirani wakati tunatengeneza umeme wa zaida.?
Wajuzi wangekuja kutuelezea vzuri hii imekaaje kaaje​
 
Attachments

  • IMG_3335.jpeg
    IMG_3335.jpeg
    221.2 KB · Views: 1
Leo rais Samia amesema wapo kwenye mchakato wa kusaini mkataba ili tununue umeme kutoka kenya kwa ajili ya watu wa Kaskazini..
Sasa najiuliza kuna haja gani ya kununua umeme nchi jirani wakati tunatengeneza umeme wa zaida.?
Wajuzi wangekuja kutuelezea vzuri hii imekaaje kaaje​
Tanganyika tuna hali ngumu sana
 
Kuna thread niliipitia inasema tupo nchi ya 28 kwa watu wenye IQ ndogo ilinitafakarisha mno.
 
Tutauza na kununua, ika tutakaouza utakuwa nwingi kuliko tutakaonunua, hivyo nwt effect itakuwa tumeuza.

Kanuni za kihasibu zimezingatiwa 😂😂😂
Sasa kwanini tusimalize kwanza ndani ndo tutoke kuuza nje mbona umeme wa maji ni bei rahisi kuliko uwo wa kenya Geothermal gharama
 
Sasa kwanini tusimalize kwanza ndani ndo tutoke kuuza nje mbona umeme wa maji ni bei rahisi kuliko uwo wa kenya Geothermal gharama
Mini natania tu mkuu.

Serikali ya Tanzania hata pale inapofanya jambo sawa ni vigumu kuitetea, kwa sababu inafanya mambo kwa usiri mkubwa.
 
Back
Top Bottom