Kwanini sasa wakati tunazalisha wakutosha?Hivyo hivyo kununua,
Tanganyika tuna hali ngumu sanaLeo rais Samia amesema wapo kwenye mchakato wa kusaini mkataba ili tununue umeme kutoka kenya kwa ajili ya watu wa Kaskazini..
Sasa najiuliza kuna haja gani ya kununua umeme nchi jirani wakati tunatengeneza umeme wa zaida.?
Wajuzi wangekuja kutuelezea vzuri hii imekaaje kaaje
Ulikuwa wa kufikirikaUle tuliopanga kuuza vipi?๐๐๐
Ungewauliza hao wanasiasa waliokuambia kwamba wanazalisha wa kutosha. Mimi sijuiKwanini sasa wakati tunazalisha wakutosha?
Aisee kweli Baba ni kichwa cha Nyumba,kichwa kisipokuwepo nyumba inayumba.Ulikuwa wa kufikirika
Nikiyakumbuka ya Eden...๐ค๐ค๐ญ๐ญ๐ญAisee kweli Baba ni kichwa cha Nyumba,kichwa kisipokuwepo nyumba inayumba.
Ndo wapo wanajengaUle tuliopanga kuuza vipi?๐๐๐
Acha tu inasikitisha ,Adam aliporuhusu akili ya Hawa itumike kutafuta msosi.Nikiyakumbuka ya Eden...๐ค๐ค๐ญ๐ญ๐ญ
Sasa kwanini tusimalize kwanza ndani ndo tutoke kuuza nje mbona umeme wa maji ni bei rahisi kuliko uwo wa kenya Geothermal gharamaTutauza na kununua, ika tutakaouza utakuwa nwingi kuliko tutakaonunua, hivyo nwt effect itakuwa tumeuza.
Kanuni za kihasibu zimezingatiwa ๐๐๐
Mini natania tu mkuu.Sasa kwanini tusimalize kwanza ndani ndo tutoke kuuza nje mbona umeme wa maji ni bei rahisi kuliko uwo wa kenya Geothermal gharama
Naunga mkono hojaTanganyika tuna hali ngumu sana