Kijana Mpole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 235
- 212
Wajasiriamali mwaka ndio huo unaanza karibu ujipatie
Mashine tunapatikana mtaa wa masasi kariakoo fuatilia hapa zilizopo dukani
Mashine za juisi ya miwa sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe
Umeme mdogo na urahisi kuiendesha
Gharama yake million moja na laki tatu tu
Mashine za bakery kuanzia mixture,oven,slicer,display vyote vipo
Mashine za kukata na kusaga nyama kwenye bucha,migahawa,hotel
Kukata nyama million moja na laki tatu
Na kusaga nyama laki sita tu
Mashine za ice cream na ice lolly au lambalamba katika size mbalimbali
Ice cream million mbili na laki tano
Na ice lolly million tatu yenye kutoa piece 40 kwa dakika 20 na yenye kutoa piece 80 hii million tatu na laki saba tu
Mashine za kupooza juice yaani juice dispenser zilizopo tray mbili ni laki Tisa na tray tatu million moja na laki mbili tu
Mashine za popcorn (kukaanga bisi)
Zile za umeme ni laki tatu na nusu tu na za kutumia gas laki sita tu
Kila mashine tutakuwa tukiichambua hapa