Tunauza bidhaa mbalimbali

Tunauza bidhaa mbalimbali

Natafuta ya chai, coffee zile ambazo unaweka sehem ya biashara (hopeful umenielewa)
Umeeleweka kabisa hiyo ni espresso cappuccino machines

Zilizopo dukani million moja na laki tatu tu tupigie 0763542515
413OXSAA5QL._AC_SY400_.jpeg
418vGt%2BdvYL._AC_SY400_%20(1).jpeg
41tz-5XP3RL._AC_SY400_.jpeg
Screenshot_20210109-183145.jpeg
Screenshot_20210109-183127.jpeg
 
Bei gani?? Na deep fryer bei gani (ya gas)
Okay zipo hivi chapati griller zipo ukubwa tofauti kutokana na idadi ya chapati kwa Mara moja

Chapati nne hii ya umeme laki nne na nusu
Na ya gesi laki sita na 80

Chapati sita ya umeme laki saba na gas laki Tisa

Chapati nane umeme laki Tisa na gesi million moja na laki tatu



Friers hapa chini
IMG_20201231_204243_859.jpeg
IMG_20201231_204243_860.jpeg
IMG_20201231_204243_862.jpeg
IMG_20201231_204243_859.jpeg
 
Friers zipo aina tofauti pia kutokana na ukubwa wake


Single frier Lita 6 hii laki moja na nusu tu

Double frier kila moja Lita 6 jumla zote mbili ni Lita 12 hii ni laki tatu tu
IMG_20201231_203701_746.jpeg
IMG-20200709-WA0068.jpeg
IMG-20200707-WA0027.jpeg
 
Mashine ya kukausha vitu mbalimbali

Kama nafaka,samaki,nyama,mboga mboga gharama yake ni million moja tu
IMG-20190408-WA0003.jpeg
IMG-20190408-WA0002.jpeg
 
Hizi ni blender zenye nguvu kubwa inasaga mpaka nafaka
Hii kwenye juisi ndipo pake inasaga matunda mbalimbali bila kuchoka gharama yake inaanzia laki mbili na nusu tu karibu sana kariakoo mtaa wa masasi
0763542515
FB_IMG_1540203730976.jpeg
FB_IMG_1540203497481.jpeg
FB_IMG_1540203454590.jpeg
FB_IMG_1540203465062.jpeg
 
Back
Top Bottom