Kijana Mpole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 235
- 212
- Thread starter
-
- #21
Umeeleweka kabisa hiyo ni espresso cappuccino machinesNatafuta ya chai, coffee zile ambazo unaweka sehem ya biashara (hopeful umenielewa)
Umeeleweka kabisa hiyo ni espresso cappuccino machines
Zilizopo dukani million moja na laki tatu tu tupigie 0763542515View attachment 1673008View attachment 1673009View attachment 1673010View attachment 1673012View attachment 1673013
Chapati griller inachoma chapati nne kwa wakati mmoja View attachment 1673931
Karibu sana ndugu
Unaweza ukaja ukalipa kwa installment ukimaliza unachukua mashine yakoNdio hii hii
Bei yake si haba imesimama
Okay zipo hivi chapati griller zipo ukubwa tofauti kutokana na idadi ya chapati kwa Mara mojaBei gani?? Na deep fryer bei gani (ya gas)
Hapa unahitaji isage yakiwa mabichi au makavu?Mim natafuta ya kusaga magome ya miti, mizizi au majani ya mimea mbalimbali
Okay zipo hivi chapati griller zipo ukubwa tofauti kutokana na idadi ya chapati kwa Mara moja
Chapati nne hii ya umeme laki nne na nusu
Na ya gesi laki sita na 80
Chapati sita ya umeme laki saba na gas laki Tisa
Chapati nane umeme laki Tisa na gesi million moja na laki tatu
Friers hapa chini
View attachment 1675277View attachment 1675278View attachment 1675279View attachment 1675282
Friers zipo aina tofauti pia kutokana na ukubwa wake
Single frier Lita 6 hii laki moja na nusu tu
Double frier kila moja Lita 6 jumla zote mbili ni Lita 12 hii ni laki tatu tuView attachment 1675284View attachment 1675287View attachment 1675288
Ndio mkuu karibu sanaHaina stand yake ee
Karibu sana nduguSafi sana...!