Vipi naweza pata machine ya kusaga viungo mbali mbali? yaani spices.STONGTECH PMC WAUZAJI MASHINE MBALIMBALI
Wajasiriamali Anza mwaka kwa kujiongezea kipato chako karibu tukuuzie mashine za juisi ya miwa million moja na laki tatu (1.3m)
Mashine hizi huwa na sifa ya kukamua na kuchuja yenyewe na pia haichukui nafasi kubwa.
Na umeme kidogo sana Tunapatikana kariakoo mtaa wa masasi
Tupigie/sms 0763542515
View attachment 1671629View attachment 1671630
Zipo ndugu karibu sana zinaanzia laki mbili na nusu kwa laki sita 0763542515Vipi naweza pata machine ya kusaga viungo mbali mbali? yaani spices.
Ni shilingi ngapi?
Compressor hatuna boss freezer zipo kubwa commercial million moja na double door display freezer million mbiliAise mm ni nahitaji air compressor na freezer
Friers zipo aina tofauti pia kutokana na ukubwa wake
Single frier Lita 6 hii laki moja na nusu tu
Double frier kila moja Lita 6 jumla zote mbili ni Lita 12 hii ni laki tatu tuView attachment 1675284View attachment 1675287View attachment 1675288