saci
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 239
- 389
Laptop 90wUnaweza kutujuza power (Watts) za laptop yako (angalia adapter) na Sabufa yako (angalia nyuma ya Radio kuna maandishi wameandika Power (W)
Sent using Jamii Forums mobile app
Spika 30w
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laptop 90wUnaweza kutujuza power (Watts) za laptop yako (angalia adapter) na Sabufa yako (angalia nyuma ya Radio kuna maandishi wameandika Power (W)
Sent using Jamii Forums mobile app
Solar Panels 300Watts - 450,000/=Laptop 90w
Spika 30w
Asante nitakupigiaSolar Panels 300Watts - 450,000/=
Battery 200Ah - 600,000/=
Control Charge 20A - 55,000/=
Wire 4mm² 10Meters - 40,000/=
Inverter 12V 150Watts(Modify) - 60,000/=
Total Tsh 120,5000/=
Discount: 1,160,000/=
■Systems hiyo ni kwa masaa 12 kwa siku.
-------------
Solar panels 170Watts - 250,000/=
Battery 120Ah -350,000/=
Control Charge 10A - 40,000/=
Wire Panels 4mm² 10Meters - 40,000/=
Inverter 12V 150Watts (Modify) - 60,000/=
Total Tsh 740,000/=
■Systems hii ni kwa masaa 8
Call 0685 779 911
Whatssap 0756403470
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam inawezekana ila gharama itakuwa kubwa zaidi kwa haraka haraka ni 24M+Hivi jaman kuna system za solar unaweza kufungiwa nyumbani ambazo mtu unaweza kuweka vifaa vyako kama pasi , fridge , heater na vifaa vingine vinavyotumia sana umeme !! Ikiwezekana vitumike vyote kwa pamoja kama tunavyotumia ule wa Tanesko
Hujajibiwa kweli mkuu! Maana hakuna asiyejibiwa na kujibiwa ni lazima Whatssap namba yetu ni 0756403470 na kupiga simu ni 0685 779 911Mkuuu hujawah jibu swala langu, nilikufata mpaka wasap,, vifaa vyangu vyote Maximum ni power watt 3500
Backup system inapunguzaje gharama za umeme wakati inachajiwa na national grid? Au inachajiwa na solar?Hujajibiwa kweli mkuu! Maana hakuna asiyejibiwa na kujibiwa ni lazima Whatssap namba yetu ni 0756403470 na kupiga simu ni 0685 779 911
Note: Whatssap namba ni 0756403470
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazikubaliii nitakucheki tuombe uzimaStreetLights
Zina mwanga mkali
Zina Sensor Motion (Automatically jioni zinajiwasha na Asubuhi kujizima)
Zinakuja na Remote na Chuma yake (Stand yake)
100Watts - 130,000/=
200Watts - 150,000/=
300Watts - 180,000/=
Karibuni sana 0685 779 911 View attachment 2798176View attachment 2798179View attachment 2798177View attachment 2798178View attachment 2798180
Backup haipunguzi gharama ya umeme bali inapunguza kukosa umemeBackup system inapunguzaje gharama za umeme wakati inachajiwa na national grid? Au inachajiwa na solar?
Ahsante bossBackup haipunguzi gharama ya umeme bali inapunguza kukosa umeme
Watanzania waliowengi bado hawana uelewa kuhusu mifumo ya umeme wa jua, vifaa vyake, na matumizi.Na linadumu mda gani?
Rechargable lights kama hizi je??
Hizi zimeisha boss mpaka januar mwishoniRechargable lights kama hizi je??View attachment 2842093
Naam ni kweli na hii ndio changamoto kubwa iliyokuwepo..ndio maana sisi tunajitahidi kutoa Elimu katika Pages Facebook inayootwa UFUNGAJI UMEME WA SOLAR NA USHAURI ili watu waelewe japo kwa uchache.Watanzania waliowengi bado hawana uelewa kuhusu mifumo ya umeme wa jua, vifaa vyake, na matumizi.
Kuna watu wanaunganisha moja kwa moja waya kutoka kwenye panels kwenda kwenye battery, na kutoka kwenye battery kwenda kwenye matumizi bila kupitia kwenye charger controller. Haya ni matumizi mabaya na battery haliwezi kumaliza mwaka.