USTADH ARABI SAIDI
Senior Member
- May 2, 2014
- 131
- 86
- Thread starter
-
- #121
Yenye uwezo wa fan 4 na fridge moja na taa 5 kiasigani...hizo za kuchaji simu ni za vijijini.Solar Kit yenye Taa 4 na kuchaji simu
175,000/=
Piga simu 0685 779 911 View attachment 2903476
Sent using Jamii Forums mobile app
Fan zina Watts ngapi , Taa zina Watts ngapi na Fredge zina Watts ngapi?Yenye uwezo wa fan 4 na fridge moja na taa 5 kiasigani...hizo za kuchaji simu ni za vijijini.
Boss tunahitaji kujua Power(Watts) za vifaa vyako ili tupige hesabu.Nipo kisiwani like victoria, nahitaji kufanya BIASHARA ya kuchaji sim masaa 24 zisizo pungua 100, kuwasha taa, kuwasha mashine za bonanza tv freji ya vinywaji na komputa kwa masaa 24.
Naomba mtililiko wa vifaa vya sola vyenye uwezo wa kuwasha vitu hivyo kwa masaa 24 na gharama zake.๐