Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,438
Na hivyo viredio vya saboofer bei ganiKaribu Sana
Na hivyo viredio vya saboofer bei ganiKaribu Sana
Karibu unataka brand aina gani mkuu?Na hivyo viredio vya saboofer bei gani
Nimelipenda hili kunisafirishia hadi tarime ni sh ngapHisense fridge (125rts)
Ujazo 90L
Dimensions (475x448x842)mm
2 years warranty
400,000/=View attachment 3331674View attachment 3331676
Ngoja niulize mkuuNimelipenda hili kunisafirishia hadi tarime ni sh ngap
Sawa niulizie then nijuzeNgoja niulize mkuu
Ni 50k bossSawa niulizie then nijuze
Mkuu tuma bei za fridge za Non Frost kwa ajili ya familia ya watu 8Aero fridge silver View attachment 3339661View attachment 3339660
Mkuu karibu,unataka brand yoyote?Mkuu tuma bei za fridge za Non Frost kwa ajili ya familia ya watu 8
sajoHisense fridge (H370 bit)
Ujazo 269L
Dimensions (557x566x1805)mm
3 years warranty
940,000/=View attachment 3338020View attachment 3338019
sajoAilyons fridge 262L
890,000/=View attachment 3338413
Yeah, ila TCL na LG kama yapo ndio naona mazuri zaidi. Sema kama una brand nyingi weka tu ili nione bei, si unajua uchumi wa kuunga unga mwanaMkuu karibu,unataka brand yoyote?