Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
- #361
Lipo pia dogo Lake 230L (550x556x1650)mm 950,000/=hili la kuweka na maji shing ngapi...?na delivery mpaka maduka mawili-temeke how much?
Lipo pia dogo Lake 230L (550x556x1650)mm 950,000/=hili la kuweka na maji shing ngapi...?na delivery mpaka maduka mawili-temeke how much?
Mkuu kwa Hizi za kichina ni brand ya hisense tu ndio wana A+++ rateMnazo fridge zenye rate ya A+++?
Kwahiyo mna brand za kichina tu!?Mkuu kwa Hizi za kichina ni brand ya hisense tu ndio wana A+++ rate
Makaveli unataka kuazia lita ngapi mkuu ?Kwahiyo m
Kwahiyo mna brand za kichina tu!?
Haya hizo hisense za A+++ mnauzaje, na L ngapi?
Kapicha katapendeza.
Nina bajeti ya pesa, isizidi milioni.Makaveli unataka kuazia lita ngapi mkuu ?
Zipo model nyingi tofauti with same properties
Mkuu upate hiliNina bajeti ya pesa, isizidi milioni.
Unapatikana wapi mkuu?Nina bajeti ya pesa, isizidi milioni.
Mkuu hii inagandisha na kupoza ? Na kwa Ambao wapo mkoani kijijini wanaweza kuipataje ?.Alyons 100L
410000View attachment 3316199
Ndio mkuu.Mkuu hii inagandisha na kupoza ? Na kwa Ambao wapo mkoani kijijini wanaweza kuipataje ?.