Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
- #461
Mkuu, bei nafuu ukilinganisha na bei zipi?Nauza vifaa mbalimbali vya electronics kwa bei nafuu
Ila huu uzi nitajikita kwenye freezers na friji pekee
Karibuni
Alyons fridges
262L 890000/=
322L 1200000/=
431L 1700000/=
Nipo kariakoo ndanda na tandamti
WhatsApp /call
0614228735
Free delivery kwa DSM
Hii post ni continues mkuu,bei ulizo quote kwa kipindi hicho zilikua nafuu.Mkuu, bei nafuu ukilinganisha na bei zipi?
Mbona naona bei sawa kama kwingine tu.
Unahitaji bidhaa gani nikuvunjie beiMkuu, bei nafuu ukilinganisha na bei zipi?
Mbona naona bei sawa kama kwingine tu.
Kampuni ipi hiyo?Wewe Ni winga au mbona una post kampuni moja
Umepost alyions tu 😀Kampuni ipi hiyo?
Nimepost almost brand zote humu ndani