Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
- #61
Ofisini hakuna mkuu,ila kariakoo hakikosekani kitu utapataKwani boss hakuna vi fridge vya size hii kwenye picha?View attachment 3317520
Ofisini hakuna mkuu,ila kariakoo hakikosekani kitu utapataKwani boss hakuna vi fridge vya size hii kwenye picha?View attachment 3317520
Hiyo ni ujazo wa friji lako (sio exactly ila ni roughly tu)Hivi mkuu samahani lakini, unaposema lita 200 mfano unamanisha nini mimi hapo huwa sielewi kabisa hembu nieleweshe tafadhali
Ume Jaribu kujibu, ila kwa usahihi ungesema mfano fridge la size 200 litres, maana yake ukitoa makolokolo yote ndani ukamwaga maji ndani lina uwezo wa kubeba Lita 200 za maji. Nadhani nime eleweka mkuu.Hiyo ni ujazo wa friji lako (sio exactly ila ni roughly tu)
Mfano nikisema friji lina ujazo wa lita 200 linaweza kubeba chupa labda 200 za lita moja moja .
Sasa geuza hizo chupa kuwa vitu vingine vya kawaida vinavyoweza kukaa kwenye friji.